Share

China yamuunga mkono Carrie Lam licha ya maandamano Hong Kong

Share This:

Licha ya maandamano makubwa kuitikisa Hong Kong, China imesema inamuunga mkono kiongozi wa Hong Kong Carrie Lam na haitomruhusu kujiuzulu.

Leave a Comment