Share

CRDB yatangaza washindi wa Shinda na Sim Account, Shilole ageuka kituko

Share This:

Promotion ya Shinda na Sim Account kutoka Bank ya CRDB imechezesha ndoo ya tatu na kuwatangaza washindi ya tsh milioni 2, milioni 1 pamoja na wale wa laki moja moja.

Leave a Comment