Share

DC Jokate “Nimesikia wagonjwa wanalalamika hospitali ni chafu”

Share This:

Mhe DC Jokate Mwegelo amepokea vifaa vya usafi pamoja na vitanda vya hospital hiyo vyenye thamani ya tsh milioni 5.5 kutoka taasisi ya Builders Center kusapoti jitihada zake za kuwasaidia Wananchi wa Kisarawe.

Leave a Comment