Share

DC SABAYA AWABANA WAFANYABIASHARA NA TRA “BIASHARA MBAYA”

Share This:

Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amekutana na wafanyabishara nakuzungumza nao kuhusu changamoto zao

Sabaya ameagiza hayo baada ya kuwepo na baadhi ya wafanyabiashara wasio waaminifu wanaodaiwa kukwepa kulipa Kodi na kushindwa kutoa risiti kwa wateja na kuikosesha serikali mapato na kushindwa kufikia malengo ya ukusanyaji wa Kodi

Leave a Comment