Share

Densi ya ballet Lagos Nigeria

Share This:

Densi mtindo wa Ballet si maarufu katika miongoni mwa densi za kiafrika. Hata hivyo nchini Nigeria katika mtaa wa Oja Lagos, jamaa mmoja amefungua shule ya kutoa mafunzo ya densi hiyo kwa wanafunzi bila malipo. Tazama ufahamu mengi zaidi kwenye #VijanaMubashara #77Asilimia ikiwemo changamoto dhidi ya densi hiyo kutokana na mitizamo ya kidini.

Leave a Comment