Share

Elimu kwa watoto wanaougua saratani

Share This:

Huenda utadhani ni darasa la kawaida. Lakini sivyo. ni darasa la wanafunzi ambao wanaugua saratani. Hii ikiwa ni juhudi ya kuhakikisha wanapata elimu sawa na wengine lakini kwa njia maalum. Hawa Bihoga na maelezio zaidi kwenye #KurunziAfya

Leave a Comment