Share

Elimu unayoipata inakujengea misingi ya kuweza kupambana na maisha.-Prof.Joyce Ndalichako.

Share This:

“Elimu unayoipata inakujengea misingi ya kuweza kupambana na maisha na ndio lengo kubwa la elimu, ukielimika na kama unamtizamo chanya unaweza ukatumia elimu yako ukafanya mambo mbalimbali”-Prof.Joyce Ndalichako – Waziri wa Elimu Tanzania.

Leave a Comment