Share

EXCLUSIVE: MJUE MSANII WA BONGO FLEVA, ALIEKAMILISHA NDOTO YA KUSOMEA UDAKTARI KWA MIAKA MITANO

Share This:

Fatma Msafiri jina la muziki anatumia Phetty na wimbo wake wa Asali, amekuwa ni mmoja wa Wahitimu kwenye safari yake ya miaka mitano yakusomea Udaktari wa Binadamu Chuo Kikuu cha Sayansi ya Afya Bugando Mwanza

Leave a Comment