Share

EXCLUSIVE: WAMEKUWA MARAFIKI MIAKA 10, WAKASOMA PAMOJA TANZANIA, LEO WANAMILIKI KAMPUNI YAO CHINA

Share This:

#VijanawaKitanzania #HangzhouChina #TACHISEA

Kutana na vijana wa Kitanzania Agape Lema na Samweli Alex waliohamishia makazi yao katika mji wa Hangzhou China, ni baada ya kwenda kimasomo na baadae kufungua kampuni yao ya TACHI SEA COMPANY wakiingia Viwandani kuwanunulia Watanzania bidhaa za China na kutuma Tanzania, Ayo TV, millaradayo.com imekaa nao kwenye EXCLUSIVE.

Leave a Comment