Share

Fahamu zaidi ugonjwa wa selimundu

Share This:

Je ugonjwa wa selimundu husababishwa na nini? Dalili zake ni zipi? Je una kinga au hata tiba? Chimbuko lake ni wapi? Na watu wanaougua ugonjwa huo huishi nao vipi? Ni miongoni mwa maswali yanayojibiwa kwenye videio hii ya #AfyaYako

Leave a Comment