Share

Hali ikoje jijini Dar es Salaam siku moja kabla ya Uchaguzi Tanzania ?

Share This:

Kura ya awali yaanza kupigwa Zanzibar siku moja kabla ya Uchaguzimkuu Tanzania 2020 Jumatano

Raia wa kisiwa cha Zanzibar hii leo wanashiriki katika uchaguzi mkuu wa kihistoria ambapo eneo hilo lina fursa ya kushiriki katika zoezi hilo kwa siku mbili

Mwandishi wetu Eagan Salla amezungumza na wapiga kura jijini Dar es Salaam

#DirayaDuniaTv
#UchaguziTanzania2020
#Tanzania

Leave a Comment