Share

Harison Mwakyembe azungumzia kanuni mpya za TCRA kwa vyombo vya nje

Share This:

Taarifa iliyotolewa na mamlaka ya mawasialiano nchini Tanzania TCRA, siku ya Jumatatu kuvitaka vyombo vya ndani kapata kibali cha kuwaruhusu kurusha matangazo kutoka vyombo vya habari vya kimataifa imeendelea kuzua mjadala ndani na nje ya nchi.

Waziri wa Habari, utamaduni na Sanaa nchini Tanzania Bw. Harison Mwakyembe na kwanza amemuuliza kama ni kweli vyombo vya utangazaji vinavyorusha matangazo kutoka nje ya nchini vitahitaji kibali kabla ya kurusha maudhui yake?

Uchaguzi unatarajiwa kufanyika Octoba mwaka huu.

Leave a Comment