Share

Hospitali ya Muhimbili Mlonganzila yafanya upasuaji kurekebisha viungo vya mwili.

Share This:

Hospitali ya Taifa Muhimbili tawi la Mloganzila imeendesha huduma ya upasuaji wa kurekebisha viungo vya mwili kwa wagonjwa wenye majeraha wanaohitaji operesheni rekebishi ili kuwa katika hali ya kawaida.

Leave a Comment