Share

Hospitali ya Taifa ya Muhimbili yakabiliwa na uhaba wa mashine za Oxygen kwa ajili ya watoto Njiti.

Share This:

Hospitali ya Taifa Muhimbili inakabiliwa na uhaba wa mashine za Oxygen kwa ajili ya kuwasaidia watoto wanaozaliwa Njiti kupumua ambapo licha ya kuwa na mashine 10 ni nne tu zinafanyakazi huku asilimia 29 ya vifo vya watoto wachanga nchini vikisababishwa na kuzaliwa na uzito pungufu.

Leave a Comment