Share

”I will STOP to Coach” KAGERA SUGAR yamkera Mbelgiji wa Yanga ”Goli la KIJINGA”

Share This:

Hakika nitaacha kufundisha

Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga Mbelgiji, Luc Eymael ameonyesha kukerwa na baadhi ya vitendo ambavyo vimeonyeshwa na baadhi ya wachezaji wa Kagera Sugar.

Akiongea na Waandishi wa Habari mara baada ya kupokea kipigo chake cha kwanza kwenye ligi kuu hasa ikiwa ni mchezo wake wa kwanza kama kocha mpya, Mbelgiji huyo amesema kuwa ”Mimi binafsi nimeona penati moja, mkono ukiugusa mpira, tukipata kadi ya njano ya moja kwa moja. Mara kadhaa kipa akipoteza muda chini kama halito sitishwa hilo hakika nitaacha kufundisha kwa sababu mimi napenda burudani na soka.” akisema huku akionyesha kutoridhishwa kwake na viitendo hivyo.

Leave a Comment