Share

Iran yasema mashambulizi ya Houthi dhidi ya Saudia ni onyo

Share This:

Iran yasema mashambulizi ya Houthi dhidi ya vituo vya mafuta vya Saudi Arabia ni onyo la kutokea vita vikubwa zaidi iwapo Saudia itaendelea kuingilia kati vita vya Yemen vilivyoanza tangu 2015. Wakati huo huo waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo aelekea nchini Saudi Arabia kukutana na mwanamfalme Mohammad bin Salman kuijadili Iran inayolaumiwa kulisaidia kundi la Houthi.

Leave a Comment