Share

JAMAA APIGWA PINGU KININJA “ANAUZA VYAKULA VYA WAKIMBIZI VYA BURE”,

Share This:

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali Mstaafu Emanuel Maganga Ameagiza kukamatwa kwa Kijana Zakalia Barichako Mkazi wa Bitulana na Mfanya biashara wa soko la kabwigwa Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma kwa kufanya Biashara zake kwakuuza Vyakula vya wakimbizi na bidhaa mbalimbali zinazotolewa na shirika la Unicef kwa wakimbizi na haviruhusiwi kuuzwa.
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma amebaini hayo Aliokua katika ziara yakuhamasisha wananchi kuwa na Vitambulisho vya wajasiliamali katika soko la kabwigwa wilaya ya Kibondo na Kuagiza jeshi la polisi Likafanye ukaguzi nyumbani kwake kubaini kama anamizigo mingine ya wakimbizi.

Leave a Comment