Share

Je baada ya kujichubua waweza rudisha rangi yako ya asili?

Share This:

Mtindo wa kujichubua ni maarufu sana miongoni mwa wanawake wengi Afrika. Huko Senegal Aminata Ndiaye amejichubua kwa miaka mingi na sasa ananuia kurejesha rangi yake asilia. Tuandamana na safari hii yake ya kufahamu ikiwa atapata suluhu. Pia kujichubua kuna athari zipi kwa maisha na afya?

Leave a Comment