Share

Jinsi Covid-19 ilivyobadilisha biashara ya kukodisha maofisi nchini Afrika Kusini

Share This:

Katika miezi ya hivi karibuni, watu wengi wamekuwa wakifanyia kazi kutoka nyumbani ikilinganishwa na ofisini kutokana na maambukizi ya Covid-19. Je, maofisi yatahitajika katika miaka ijayo? Na iwapo jibu ni ndio…je, hitaji hili litakuwa kiasi gani? Taarifa hii inaangazia hali ilivyo nchini Afrika Kusini.
#biashara #bbcswahili #afrikakusini

Leave a Comment