Share

Juhudi zaidi zinahitajika kupambana na Malaria

Share This:

Homa ya Malaria inaathiri maisha ya mamilioni ya watu kila mwaka lasema shirika la Afya la Umoja wa mataifa WHO. Kina mama wajawazito na watoto ndio wanaoathirika zaidi na ugonjwa huo.

Leave a Comment