Share

Kampuni zapewa siku moja kuwasilisha nyaraka za wizi wa betri katika minara..

Share This:

#DSM
#ITVTANZANIA
MKUU WA WILAYA YA ILALA BI.SOPHIA MJEMA AMETOA SIKU MOJA KWA MAKAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI PAMOJA NA MAKAMPUNI YANAYOLINDA MINARA YA SIMU KUWASILISHA NYARAKA ZINAZOHUSU HUJUMA NA WIZI WA BETRI KATIKA MINARA YA SIMU ILI SERIKALI IWEZE KUWASAKA NA KUWACHUKULIA HATUA KWA MUJIBU WA SHERIA.

Leave a Comment