Share

KATIBU ALIVYOKUTANA NA WAJERUMANI “TUNALINDA MISITU YETU”

Share This:

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Prof.Aldof Mkenda amekutana na wageni kutokea nchi Ujerumani kwa lengo la kujadiliana na namna ya kulinda Misitu.

Leave a Comment