Share

Katuni za 3D zinavyotengenezwa Tanzania

Share This:

Kutana na vijana wa taasisi ya TAI nchini Tanzania wanaotengeneza vikaragosi kwa kuonesha umbo halisi yaani 3D. Kazi yao husanifiwa na kuhaririwa Tanzania. Je unafahamu kuwa sehemu ya vikaragosi hivi yenye ukubwa wa dakika nane pekee huchukua zaidi ya miezi minne hadi kukamilika? Kufahamu mengi zaidi tazama hapa. Video na Yakub Talib. Kurunzi 11.01.2020

Leave a Comment