Share

KAULI YA KABENDERA MAHAKAMANI “KIPIMO CHA DAMU”

Share This:

Mwandishi wa Habari za Kiuchunguzi, Erick Kabendera amebainika ana tatizo katika pingili za mgongo baada ya kufanyiwa vipimo vya Xray katika Hospitali ya Rufaa ya Amana.
_
Hayo yamebainika baada ya Kabendera kumueleza Hakimu Mkazi Mwandamizi, Agustine Rwizile baada ya Wakili wa Serikali Mwandamizi, Wankyo Saimon kueleza kuwa shauri lilikuja kwa ajili ya kutajwa na upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika.

Leave a Comment