Share

Kauli ya Serikali kwa watendaji wanaowakamata na kuwapiga wauza mkaa

Share This:

June 12, 2018 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Japhet Hasunga amepiga marufuku watendaji wanaokamata na kuwapiga watu wanaowakamata kwa kusafirisha mkaa na badala yake wawapeleke katika vyombo vya usalama. Hasunga meyasema hayo wakati akijibu swali la Munge wa viti maalum CCM Munde Tambwe

Leave a Comment