Share

Kenya: Vyuo vikuu vinavyotengeneza vifaa vya kujikinga dhidi ya Covid-19

Share This:

Katika makala haya ya Biashara Bomba, tunaangazia jinsi vyuo vikuu nchini Kenya vinavyotengeneza vifaa vya kujilinda dhidi ya Covid-19 na hivyo kutoa suluhu ya kinyumbani kwa changamoto wanazokumba raia wa kawaida na wahudumu wa afya katika kukabiliana na virusi vya corona

Leave a Comment