Share

KIJANA ALIYEACHA KAZI YA UCHIMBAJI KWA BILLIONEA LAIZER AGEUKIA NYIMBO ZA DINI,ASKOFU SHOO AMBARIKI

Share This:

Paul Siria ni kijana aliyeacha kufanya kazi ya uchimbaji wa madini kwa Bilionea wa Saniniu Laizer nakuamua kumtumikia Mungu kwa njia ya nyimbo ambapo ali-trend baada ya kumtungia bilionea huyo nyimbo alipopata madini ya Tanzanite yenye thamani ya shilingi Billion 7.8 ambayo aliyauza serikali.

Leave a Comment