Share

Kijana anayeweza kutoa sauti za wanyama 50

Share This:

Justice Osei, 19, kutoka Ghana anaweza kuigiza sauti za wanyama zaidi ya 50
Alipokuwa mdogo, alikuwa na uwezo wa kuwaiga mbuzi, kondoo na wanyama wengine lakini sasa anataka kuweka rekodi ya dunia na kutambuliwa na Guinness World Record.

Leave a Comment