Share

Kuna uhusiano kati ya Covid 19 na nimonia au kichomi?

Share This:

Ugonjwa wa COVID-19, unaweza kuenea kwenye mapafu, na kusababisha homa ya mapafu. Wakati watu wengi wanapona, wengine hupata homa ya mapafu ambayo haiendani vizuri na matibabu. Je kuna uhusiano kati ya nimonia ya kawaida na kirusi cha corona? Tazama vidio hii iliyoandaliwa na Fathiya Omar.

Leave a Comment