Share

MAAMUZI YA WAZALISHAJI WA MIFUKO BAADA YA ZUIO LA SERIKALI “IPO BAHARINI”

Share This:

Tunayo stori kutokea kwa Muungano wa Wazalishaji Mifuko nchini ambapo wamesema wanakubaliana na marufuku ya serikali kuzuia mifuko ya Plastiki ambapo wametafuta mbinu nyingine ya uzalishaji wa mifuko mbadala.

Leave a Comment