Share

Maandamano yaliyosababisha kuangushwa Ukuta wa Berlin

Share This:

Ilikuwa ni Oktoba 9 mwaka 1989 ambapo watu 70 000 waliteremka barabarani mjini Leipzig kudai uhuru na demokrasia. Kinyume na hofu zilizokuwepo vikosi vya usalama vya iliyokuwa jamhuri ya kidemokrasi ya Ujerumani – GDR havikuingilia kati

Leave a Comment