Share

MAFATAKI YAPIGWA MIAKA 70 YA CHINA, WAZIRI KABUDI NA BALOZI WAFUNGUKA

Share This:

Ubalozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania imefanya sherehe ya kutimiza miaka 70 tangu kuanzishwa kwa Jamhuri hiyo ya China ambapo katika sherehe hizo viongozi mbalimbali wa Kisiasa na Kiusalama waliweza kuudhuria akiwemo Waziri wa Mambo ya Nje, Profesa Palamagamba Kabudi.

Leave a Comment