Share

Mai Zumo: Msichana mwigizaji

Share This:

Mai Zumo akiwa na umri wa miaka mitatu anaingia kwenye sanaa ya uchekeshaji, safari yake ilianza ghafla. Sasa ameweza kuwa kioo kwa wasanii wachanga katika sanaa ya uigizaji. Hadija Halifa anazungumza naye. #MsichanaJasiri. 15.01.2021.

Leave a Comment