Share

MAJONZI: FAMILIA YAFARIKI KWA KUFUNIKWA NA TAKATAKA DSM

Share This:

Majonzi na simanzi zimetawala kwa wakazi wa Mbagala Charambe kwa Mwarabu baada ya Kifusi cha Takataka kudondokea nyumba na kusababisha vifo kwa familia.

Leave a Comment