Share

MAMA MJAMZITO WA MIAKA 36, KAZI YAKE NI BODABODA, “HII MIMBA SIO YA KWANZA NINA WATOTO SITA”

Share This:

Ayo TV inakukutanisha na mwanamke mjamzito wa miaka 36 ambae kazi yake ni kubeba abiria pamoja na mizigo kwa bodaboda licha ya kukiri kuwa yupo mbioni kujifungua mapema mwezi October mwaka huu 2020, Kuna mengi ameyasema kwenye haya mahojiano

Leave a Comment