Share

Marekani yaongoza mauzo ya silaha duniani

Share This:

Zaidi ya asilimia 80 ya mauzo ya silaha duniani hufanyika kutokea Marekani na mataifa ya Ulaya ya Magharibi, huku Marekani pekee ikiongoza kwa asilimia 59 za mauzo hayo. Kurunzi 09.12.2019

Leave a Comment