Share

MASOKO MAPYA TANZANIA ”MUONEKANO WA SOKO LA MTWARA”

Share This:

PART 1 kwenye Kipindi cha TAMISEMI YA WANANCHI MTWARA, Masoud Kipanya kaingia, Mtwara usiku ni kwenye TAMISEMI ya WANANCHI, Miradi ambayo inasimamiwa chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI, Leo tumeonyeshwa Soko la Kisasa wanalijenga Mtwara, Pamoja na Barabara za Kisasa, Usiku hakuna kufunga Biashara Taa mpaka Asubuhi @ortamisemi #TAMISEMIYAWANANCHI

Leave a Comment