Share

Mbunge wa mbinga magharibi John Komba Amefariki dunia na Rais Kikwete atuma salamu za Rambi rambi.

Share This:

Katibu wa itikadi na uenezi Nape Nnauye amethibitisha kutokea kwa kifo hicho na kwamba mwili umeondolewa TMJ Hospitali na kupelekwa kuhifadhiwa hospitali ya Jeshi Lugalo.

Leave a Comment