Share

MCL MATUKIO: Kesi ya kuzuia uchaguzi TLS yatupwa

Share This:

Mahakama Kuu imetupilia mbali kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Wakili Onesmo Mpinzila pamoja na mambo mengine akipinga Kanuni za Uchaguzi za Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) za mwaka 2016.

Posted In:

Leave a Comment