Share

Moise Katumbi amerudi nyumbani Lubumbashi baada ya miaka 3 uhamishoni.

Share This:

Kiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo katumbi arejea nyumbani. Je hii ni ishara ya mwanzo mpya kisiasa nchini DR Congo ?

Leave a Comment