Share

Mshirika wa karibu zaidi wa rais wa Marekani Donald Trump amemtaka kiongozi huyo kukubali kushindwa

Share This:

Hujambo? karibu katika matangazo ya AMKA NA BBC, Habari kuu asubuhii hii kwa muktasari ni pamoja na…

Mgogoro nchini Ethiopia waendelea kupamba moto, huku wajumbe wa umoja wa Afrika wakishindwa kufika eneo la mapigano, nini kinaendelea?

Mshirika wa karibu zaidi wa Rais wa Marekani Donald Trump amemtaka kiongozi huyo kukubali kushindwa huku mwanasheria wa Democrat akisema ni matumizi mabaya ya ofisi ya Rais.

Utasikia pia hofu ya kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya Corona katika magereza nchini Rwanda na hatua zinazochukuliwa na nchi hiyo kukabiliana na ongezeko hilo.

Utakuwa nami Regina Mziwanda na michezoni utakuwa na David Nkya
#AMKANABBC
#Tigray
#uchaguziUganda2021

Leave a Comment