Share

Mtindo mpya wa sekta ya starehe, matamasha na burudani barani Afrika

Share This:

Katika makala haya ya Biashara Bomba, tunaangazia jinsi kanuni za kudhibiti kuenea kwa Covid-19 zimeathiri sekta ya burudani na matamasha barani Afrika.
Pia tunamulika mbinu mpya ambazo wajasiriamali katika sekta hii wamechukua ili kuendelea kupata riziki
#Burudani
#BiasharaBomba
#Ujasiriamali

Leave a Comment