Share

Mtu mmoja amepoteza maisha na mwingine kujeruhiwa vibaya katika ajali, Kahama.

Share This:

Mtu mmoja amepoteza maisha na mwingine kujeruhiwa vibaya katika ajali mbili tofauti zilizohusisha malori yaliyobeba mafuta katika eneo la Isaka na Shuni wilayani Kahama na kusababisha taharuki kwa wakazi wa maeneo hayo walioshuhudia ajali na kukimbia wakiacha mafuta yakimwagika na kumiminika mtaroni huku Lori la kampuni ya Mount Meru Petroleum Ltd ya Arusha likiwaka moto na kuteketea kabisa.

Leave a Comment