Share

Museveni aongoza maandamano dhidi ya ufisadi

Share This:

Rais Museveni wa Uganda ameongoza maandamano dhidi ya ufisadi nchini mwake na kisha kuhutubia taifa akikanusha kushiriki katika maovu hayo. Hii imekuwa sehemu ya maadhimisho ya wiki dhidi ya ulaji rushwa inayozingatiwa kote duniani hadi tarehe 9 mwezi huu wa Desemba.

Leave a Comment