Share

Mwanamtindo wa kwanza mwenye Vitiligo Tanzania

Share This:

Miko Deo ni Mtanzania, ana tatizo la ngozi liitwalo vitiligo lilioanza miaka 15 iliyopita. Mwanzoni alikuwa anaona aibu, lakini baadae alijiamini, akaamua kuwa mwanamtindo.

Leave a Comment