Share

Naibu Chansela wa kwanza wa kike chuo kikuu Mombasa

Share This:

Wanawake wanaweza. Tazama video hii iliyoandaliwa na Fathiya Omar kumhusu Profesa Leila Abubakar, ambaye ndiye mwanamke wa kwanza kuwa naibu Chansela katika Chuo Kikuu cha Kiufundi huko Mombasa, Kenya.

Leave a Comment