Share

‘Ndoa yetu imetokana na mapenzi ya dhati’ Susan na Phillip Eling

Share This:

Tangu Susan Njogu Eling alipoamua kufunga ndoa, na Phillip Eling amekuwa akishambuliwa na wengi kutokana na uamuzi wake.

Kisa, mume wake anaishi na ugonjwa ambao unaathiri misuli na viungo vyake.

Hali hii inajulikana kama Bethlem Myopathy – hawezi kutumia mikono yake wala miguu yake na hata sehemu ya shingo lake.

Kimsingi mume wake hawezi kutembea, kuinua chochote wala hata kujihudumia mwenyewe kwa mfano kula chakula au hata kuchana nywele zake mwenyewe.

#WaridiwaBBC
#Ulemavu
#Ndoa

Leave a Comment