Share

Ni kusuka au kunyoa Oktoba 28

Share This:

Kitimtim cha uchaguzi mkuu nchini Tanzania kimeshika kasi. Nani kupanda na nani kupoteza ni tarehe 28 Oktoba. Lakini watanzania wenyewe wanasemaje? Tizama video hii ya Yakub Talib.

Leave a Comment