Share

‘Ninapenda kupigana na wanaume’ Mwanamke nyota wa Taekwondo Nigeria

Share This:

Tangu nilipohitimu na ukanda mweusi na kushinda medali 30, 3 zikiwa za dhahabu, Humble Li Orji vibaka wabakaji wananiogopa.
Anazungumzia safari yake katika michezo na jinsi wanawake wanavyojifunza nidhamu, kudhibiti uzito wa mwili, na kujihami.
#taekwondo #wanawakewanaweza #Wanawake #BBCSWahili #Michezo #Michezoyawanawake #Nigeria #Afrika

Leave a Comment