Share

OSHA yawataka MAFUNDI kuzingatia Usalama na Afya Mahalipa Kazi

Share This:

Mafundi katika nyanja tofauti wametakiwa kuhakikisha wanazingatia usalama na afya wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao, kwani mtaji namba moja katika majukumu yao ni mfanyakazi.

Wito huo umetolewa na Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usalama na Afya Mahalipa Kazi (OSHA), Bi. Khadija Mwenda, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la mafundijijini Dodoma.

Leave a Comment